Recent content by Hady

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hajali muda

    Mkumbushe aanze kujiandaa mapema.
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania am sory boy

    U are very right Nikiwe, nashikana bega na ww, ucthubutu kabisaa kumpa pesa hata akija anatembea na magoti!!!! juzi juzi tu hapa mwenzio nimetoka kulizwa, jamaa akaamua kukata kabisa mawacliano......uuuuh!! Sitokaa nimpe pesa yangu mwanaume!
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa nini hali kama hii inatokea?

    Lakini mi naona c wadada tu! hata wakaka sikuhizi wamekuwa mmmh!! wachunaji wazuri, mara baby sina vocha, mara hiki wengine hata pesa wanaomba live...(With experience and evidence).
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia za kumsahau mpenzi tuliachana

    Jiweke busy,then ukihisi kama unataka kumkumbuka vile jipe shughuli ya kufanya,pia usipende kukaa pekeyako muda mwingi..Polee.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutotoa huduma yeyote katika kipindi cha ujauzito.

    Nashukuru sana kwa mwongozo, ninalifanyia kazi suala hili.
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    Asanteni sana brothers and sisters kwa ushauri, kitu nlichogundua ni kwamba the guy ni pasua kichwa! So nimeamua ku move-on na maisha yangu....love u all and be blessed.
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    msg yako?? ilikuwa na rangi gani? hiyo nimeandika mwenyewe,and I don want those stresses any more!! Km ni yako au c yako to hell?? utajua mwenyewe.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutotoa huduma yeyote katika kipindi cha ujauzito.

    kama hukuwa na chakuchangia ni bora ungeiacha kama ilivyo!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutotoa huduma yeyote katika kipindi cha ujauzito.

    Je, sheria inasemaje juu ya mwanaume anayekwepa jukumu lake la kulea mimba, lakini hapo hapo anadai kuwa mtoto akizaliwa ni mali yake na atamchukua? Naombeni msaada kwa hili.
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe mahususi kwa mabachela

    Hata mimi sina ubishi kabisa na hilo.
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    mh! mnanishauri nifanye nini? maana naogopa kuendelea kupata maumivu zaidi.
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    Simu nimeiwasha now, na ametuma text kuwa "Beb stop that,sleep tit". Ila mwenzenu hata simuelewi.
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    Hili limetokea leo tu ila tangu amekuwa mbali na mimi nahisi kama amebadilika coz ninaweza piga simu isipatikane au isipokelewe nkimuuliza anadai imekufa betri wakati haikuwa na shida kama hiyo before, yaani kifupi ni kwamba amekuwa muda mwingi hayupo hewani.
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    Asante Bak kwa ushauri, ngoja niiwashe nione kama kunachochote.
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya kama sijali ila moyoni naumia!

    Jamani naombeni msaada, hivi mtu kama huyu nyie mnamchukuliaje? tulikuwa ndo tumeanza tu kuongea kwa njia ya simu mimi na mpenzi wangu ambae nkonae mbali, hata dakika tano hazikuisha akanambia "kata simu kuna mtu anapiga" hapo akatumia zaidi ya lisaa kuongea anadai ni kaka yake,mi nkaamua...
Back
Top Bottom