Hii yote yaletwa na usomi usomi mwingi tu, hata hapo bongo yapo tu haya jamaa anachanganya ndimi ilimradi aonekane yupo juu kisa amefika chuo kikuu, kwa kenya hili la kudharau kiswahili lipo kwa sana hasa nyanda za juu (bara) ni sababu kusoma sana kwao. Hapa kenya kuanzia chekechea lugha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.