Recent content by HadijaB

  1. H

    JamiiForums Mkurugenzi wanyamapori aliyesimamishwa kazi kwa mbwembwe, arejeshwa kazini

    Tume ya uchunguzi! Tz!? Ulishaona tume iliyoleta majibu yenye kuridhisha hapa tz? Acha story mingi. Hapa kuna mkono wa mkubwa sasa wamemsafisha huyo mambo yasiharibike ila wale wengine ndo basi tena. Hiyo ndio Tanzania yetu.
  2. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Angekuwa tayari kutangaza ndoa hata ya chai tu mimi sina shida. Amenitoka cz naona kama natapeliwa. Nani ananijua kwao? Sababu za msingi? Zipi? Na hizo habari zake zinazovuma ambazo nachelea kumuuliza na kuzichunguza sitaki? Yakikukuta utakuwa mpole.
  3. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Wanaume siku hizi mmekua mzigo mzito. Hakuna mbeleko ya kufaa kuwabeba. Mnatuchosha. Hapo najua kazi nzuri ikitokea ntakimbiwa.Nirudi niwaambie nimeachwa.Hapo mtanishauri nini? Nijiue au? Najua haya yanawapata wadada wengi. Mmekuwa mizigo.Tumekuwa walezi wa vidume wavivu hapa mjini.Wanaume...
  4. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Kivipi? Anakaa kwangu. Au me niondoke? Niende wapi?
  5. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Angeonyesha nia ya kunioa wala nisingetia shaka. Na angenioa ningejua hapa ni kwenye shida raha zitakuja. Tatizo hataki kusikia ndoa. Kwa hiyo hapa naona kama nimeshaachwa kuna mtu labda. Nimeshamwambia hata kama hatuna uwezo ndoa ifungwe hayo mengine ni majaaliwa. Hataki sasa hata kusikia.Umri...
  6. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Amenitoka rohoni baada ya kujua kumbe hajajua haya maisha yakoje. Maisha ni magumu ndugu zangu. Mwanaume hutaki kazi! Hata akipata kazi atakayoikubali sitamrudisha moyoni kama mpenz. Nimeshaona hafikiri kuhusu kesho.
  7. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Sijapata mtu mwingine. Na sina mpango wa kuwa na mtu nikiwa na huyu. Ila ukweli ni kwamba mwanaume asie chacharika anakera sana. Hapa anakaa kwangu.Sipendelei wanawake tegemezi ila mwanaume tegemezi usiombe ukutane nae. Bora mwanamke.
  8. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Sijaamia kwake. Amehamia kwangu. Tena hata hajawahi kuuliza kodi nalipa kiasi gani.
  9. H

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Mwanaume ninae ishi nae nilikutana nae chuoni na alinisaidia sana kuanzia kimasomo mpaka matumizi yote.Hatujafunga ndoa. Baada ya chuo tuliajiriwa kwenye mashirika tofauti kazi ambayo naifanya mpaka sasa. Mwaka mmoja baada ya yeye kuajiriwa aliachishwa kazi kwa tuhuma ambazo hajaziweka wazi...
Back
Top Bottom