Ndugu Bopwe napenda kukusahihisha kwamba TIPER hupelekwa mzigo ambao ni Financial Hold haujalipiwa kwa supplier (either by Cash or LC yenye payment terms ya 60 days) na kama mzigo umelipiwa unakuwa pump direct to the terminal/depot ya Oil Market Company. Ushuru wa importation kila kampuni...
Hizi tender ni za kila mwezi ambazo hutangazwa na Petroleum Importation Coordinator Ltd (PICL) na supplier wana Bid then the lowest bidder anashinda supply since 2012. Mifano ya kampuni zilizowahi kushinda ni Augusta Energy SA (Geneva), Addax Energy SA(Geneva) Gapco Tanzania Ltd (Tanzania)...
Ndugu Belo ukwepaji upo na ukwepaji upo hasa kwenye declaration ambayo inahusisha mafuta ya Transit tu kwasababu process ya Cargo manifest ni ngumu kwa kitu alichokisema hapo juu mleta mada kwasababu manifest inafanywa na shipping agency (Sturrock) kwa kushirikiana na Supplier na kuwa lodged TRA...
Halafu swala jingine inaonekana kuna vitu huvijui vizuri as per TBS requirement for Diesel au Gasoil inayotakiwa ni low sulpher 500 ppm na sio hiyo uliyoitaja na ilianza kutumika January 2015 before hapo tulikuwa tunatumia 50ppm. Mafuta yote yanayoingia nchini yanakuja kwa Bulk supply na...
Huo ni uongo uwezo wa meli kushusha KOJ ni meli isiyozidi Tani 35 KT na above that inashushia SPM au single mooring Point ambayo inashusha Diesel peke yake 70KT to 100KT mleta mada usidanganye watu KOJ haiwez kuhimili meli inayobeba Tani laki moja utakuwa umesimuliwa
Naamini Dr Mpango ni the best choice time will tell. Tangia awepo Tume ya mipango alikuwa thinktank mkubwa sema mipango yake ilikosa mtu wa kuitekeleza....i think JPM yupo right to have his shot kwa Dr Mpango.
Tanzania tunatumia Bulk Petroleum System ambayo tender inafanyika kwa kumpata supplier kwaajili ya ku import mafuta yote yaan white petroleum (Diesel, Petrol, Jet A1/IK). Winner wa tender ni yule lowest bidder. Reason ya kutumia hii system ni kuweza ku control quality na price katika soko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.