Na wale wafanyakazi, wa muda,{vibarua} kwa miaka mingi kwenye mashirika ya umma, bila kuajiriwa, ingawa wame meet qualification katika kada mbali mbali, watakumbukwa.
Acha haraka sana kutoka sasa. Kila mtu kaja kwa siku yake na ataondoka kwa siku yake duniani, hukumjua wala kudhania utakuja kuonana nae. Kuna janga laja. Acha majuto ni mjukuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.