Recent content by Hackboy

  1. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    We only live once, sasa nikiua si ntakuwa mbinafsi sana. Nyie mnao amini second life ndio mnauana
  2. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Sio kila binadamu ni social. Pia hakuna spiritual beings, we are solely physical entities. No one can astral project au transcend to another level like heaven etc. Ayo nimambo yakufikilika. Na concept ya good na evil ni kila mtu jinsi anavyoona. Mfano tu Mungu wenu wa imagination, he is evil...
  3. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Ni mtihani kwa kweli
  4. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Wamekalili ushirikina
  5. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Bado sijampata, kumpata ni bahati kubwa sana
  6. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Natafuta rafiki wa kike, sasa kingereza kinahusiana nini?
  7. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Shetani hayupo
  8. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Makabulini kunamifupa tu acha uoga
  9. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Hakuna wachawi
  10. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Asiye mwamini na Shetani pia
  11. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  12. Hackboy

    Mwenye ujuzi wa blockchain na solidity programming tafadhali

    Vipi hauna project zingine za Blockchain nkusaidie?
  13. Hackboy

    Nina tatizo la kukojoa damu

    Mkuu ulipona? Na kama ulipona ulifanyaje? Kuna mtu anaiyo shida anahitaji msaada
  14. Hackboy

    Tujuane Tunaosikiliza Mziki Wa Dark Electro/Cyberpunk/Cybergoth/Industrial/Metal/Ebm/Synthwave/Retro

    We can be friends, check me on Instagram @herikaniugu
  15. Hackboy

    Tujuane Tunaosikiliza Mziki Wa Dark Electro/Cyberpunk/Cybergoth/Industrial/Metal/Ebm/Synthwave/Retro

    Perturbator [emoji91][emoji91] nimefurah kupata mwanachama mwenzangu
Back
Top Bottom