Recent content by HACHOKI TALEMWA

  1. H

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo rorya nije Kagera Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ahahahaaa [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye excel!

    Division inabidi uwe na point I.e =sum(if(LARGE (A1, B1, C1,........{1,2,3,4,5,6,7} ) <=21,5,IF(................)) Utapata point then tumia point kutafuta division kwa kutumia formula kama ya grade Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye excel!

    Grade au division
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye excel!

    =if(D4="-", " ", if(D4>=81,"A ",..................) jaribu hapo
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: wapi naweza kupata training nzuri ya Oracle Database

    Njoo Bukoba MLVTC utapata training sahihi ya iyo DBMS au nicheki kwa 0752861997 au 0782851219 kwa msaada zaidi
  7. H

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idala gani Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mstakabali wa Elimu ya VETA ni upi

    Ok sorry, iyo bridging course ikoje mweshimiwa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mstakabali wa Elimu ya VETA ni upi

    Ndugu wana jf naomba mwenye kufahamu baada ya kusoma veta Level 1,level 2 na level 3 nini kinafata au ndo mwisho wa level za VETA?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    Achana nae uyo, Isitoshe mi ni mwalimu wa Science "masuala ya grammer na tenses" tuwaachie walimu wa kiswahili na English
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    Hapana sikuwemo nilijaribu kutuma vyeti tena kwa umakini sana lakini jina halitokei kwenye list ya walio omba ajira
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    Nilifanikiwa kupata namba zao za simu nilivowapigia na kuwauliza tatizo ni nini za kufanya Kila nikituma jina langu halitokei kwenye list ya walio tuma walichonijibu ni kwamba nilitumia majina mawili na waliitaji majina matatu na CV na cheti cha kuzaliwa [emoji17] [emoji17] [emoji17]
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu wa Science na hisabati zaleta sintofaham kwa baadhi ya watu

    Ninashangaa na nakuwa na sintofahamu baada ya kutuma vyeti kwenye email za wizala ya elimu na kukosa kwenye orodha ya waliotuma vyeti na kupelekea kukosa kwenye orodha ya waliopangiwa vituo vya kazi. Sijui nini kipo kwenye vyeti vyangu!!! Hadi sasa sjui nifanyeje ushauri tafadhari wana jf
Back
Top Bottom