HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Ndugu wana jf naomba mwenye kufahamu baada ya kusoma veta Level 1,level 2 na level 3 nini kinafata au ndo mwisho wa level za VETA?
ukitoka level 3 unafanya bridging course 6moths afu unasoma level 5& 6 technical schoolNdugu wana jf naomba mwenye kufahamu baada ya kusoma veta Level 1,level 2 na level 3 nini kinafata au ndo mwisho wa level za VETA?
Ok sorry, iyo bridging course ikoje mweshimiwaukitoka level 3 unafanya bridging course 6moths afu unasoma level 5& 6 technical school
technical school apo apo kma Arusha tec etcOk sorry, iyo bridging course ikoje mweshimiwa