Unataka uwe na imani na mimi ili iweje mkuu?? Kuwa na imani ma Mungu wako tu.. hilo ndilo wapaswa kufanya.
Imeandikwa,
"amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.."
Wekeza imani yako kwa Mungu wako.
Nashukuru sana Mkuu kwa pongezi na kunitia moyo.
Ni adimu sana watu wa sekta moja kuonesha appreciation kwa mwingine. Inadhihirisha ukomavu wa haiba na misuli yako ya fikra.
Mwenyezi Mungu akuweke nawe pia ndugu yangu tuendelee kusongesha hili gurudumu.
Naamini siku moja mbegu tunayoipanda...
Taarifa zote hizi Marekani hawakuwa wanazijua mpaka Dr. Ye alipotoroka kurejea China.
Kwa miaka yote miwili ambayo alikuwa akiishi Marekani walikuwa wanamchukulia kama mtafiti tu na mwanasayansi pasipo kujua kwamba ni Dr. Ye alikuwa ni jasusi mbobezi kabisa.
Huyu Dr. Ye akiwa Marekani aliwahi...
Huyu ndiye Mwanamama Mtafiti na Mwanasayansi Yanging Ye. Hii picha nimeipiga mchana wa leo kwenye tovuti ya FBI. Unaweza kuitazama hata sasa kwenye kipengele cha watu wanaotafutwa (Most Wanted list).
Mwanamama huyu bado angali anatafutwa na FBI kutokana na masuala kadhaa ambayo FBI wanahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.