Recent content by Haber Faraday

  1. Haber Faraday

    Chakula cha akili kitabu soft copy hii hapa

    Wafikishie na nduguzo wengine walio nje ya j.f tushirikiane kulitokomeza hili la kutopenda utaratibu wa kujisomea kwa watanzania.
  2. Haber Faraday

    Chakula cha akili kitabu soft copy hii hapa

    It costs you 1.06 MB.
  3. Haber Faraday

    Lesson; Nguvu iliyojificha nyuma ya kitendo cha kutenga muda wa kuwa peke yako (aloneness)

    Hayo ndiyo masomo ya Faraday yalivyo, kwa wanaoyafahamu pengine hilo ni fupi huwa yapo sio kwa ajili ya watu wote ni kwa ajili ya yule anaeweza kukaa chini na kusoma Somo na si kuperuzi nukuu pekee.
  4. Haber Faraday

    Lesson; Nguvu iliyojificha nyuma ya kitendo cha kutenga muda wa kuwa peke yako (aloneness)

    LESSON; NGUVU ILIYOJIFICHA NYUMA YA KITENDO CHA KUTENGA MUDA WA KUWA PEKE YAKO (ALONENESS). Ni siku nyingine tena mwalimu anakualika kuendelea kupata chakula cha akili, ni imani ya mwalimu kuwa u buheri wa afya na unaendelea vyema na harakati za kila siku kuhakikisha kuwa unaiona siku nyingine...
  5. Haber Faraday

    Risala ya mwaka (summary of the year)

    LESSON; RISALA YA MWAKA (SUMMARY OF THE YEAR). Hatimae leo mwalimu ameamua kurudi tena darasani baada ya likizo ndefu, pole kwako wewe mwanadarasa ambae hali yako kiafya si nzuri lakini pia hongera kwako wewe ambae uko buheri wa afya, mwalimu ataenda...
  6. Haber Faraday

    Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

    Neno la leo "Kujua ni jambo lililozuri lakini jambo linaloua uzuri wa kujua ni kujua kinachojulikana". H.Faraday. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Haber Faraday

    Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

    Neno la leo "Kwa kuwa fursa ziko jirani sana badala ya kutumia macho tumia pua ili kuokoa muda". H.Faraday Karibu upate mapinduzi ya kifikra bado haujachelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Haber Faraday

    Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

    Exactly Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Haber Faraday

    Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

    Kuna namba ya mwalimu mwisho wa somo mtafute ili akuunganishe. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Haber Faraday

    Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

    Okay Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Haber Faraday

    Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

    LESSON THREE~sehemu ya kwanza KUJIAMINI (self confidence). Amani iwe nawe mwanadarasa popote ulipo, mwalimu anaamini u mzima wa Afya ya mwili na unaendelea kuwepo ama kuishi chini ya jua hili. Kabla hatujafunga masomo yetu ya utangulizi na kuanza kuzichambua nyanja mbalimbali...
Back
Top Bottom