Recent content by Haaya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe aichafua Muheza, mpaka kusababisha CUF na CCM wahairishe mikutano yao kabla ya wakati

    picha ninazo nyingi illa jinsi ya ku zi apload nashndwa, plz kuuliza si ujinga nielekezeni, natumia simu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe aichafua Muheza, mpaka kusababisha CUF na CCM wahairishe mikutano yao kabla ya wakati

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Mbowe jana alifanya MIKUTANO MIKUBWA MIWILI ya kuwanadi wagombea udiwani kata ya GENGE Yosepher Komba, na Kata ya TINGENI Omary Khatibu! Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. Umati wa wananchi uliofurika katika Mkutano wa CHADEMA ulisababisha CCM na CUF waahairishe...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ndugai akiona chamoto jimboni kwake

    wamebaniwa posho, wamepiga mgomo baridi, kudadadeki!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    saafi prof j, ni haki yako kabisa kikatiba, achana na wapika majungu!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Dr.Slaa Uyole- Mbeya; CHADEMA waomba michango kugharamia ujio wa Dr.Slaa

    ukiona hivyo mkuu, ujue ni dalili za wananch kuchoka na wanataka ukombozi! Kidogo wanachopata wanagawana na CHADEMA.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari, Mabere Marando, Jj. Mnyika, Halima Mdee wanaizika rasmi CCM Mlandizi Jumamosi

    mmh eti malando anatumika?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari, Mabere Marando, Jj. Mnyika, Halima Mdee wanaizika rasmi CCM Mlandizi Jumamosi

    nauliza tuu, maana nimeona jina lake,, illa jibu nishapata ni mwanachama mzalendo.
  8. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

    Ndiyo maana nampenda Raisi wangu tarajali dk slaa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

    Ndiyo maana nakupenda Raisi wangu tarajali dk slaa.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hongera mheshimiwa Zitto kuisemea Tabora

    zitto jembe,, tena makao makuu wangempa kazi ya kudili na mikoa ya pwani tuu!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hongera mheshimiwa Zitto kuisemea Tabora

    Tabora haina tofauti na Mkoa wa Tanga, inahitaji ikombolewe, kazi yao kuchagua wabunge wa ccm, halafu wanadharauliwa na ccm, maendeleo ziro@gmail.com
  12. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari, Mabere Marando, Jj. Mnyika, Halima Mdee wanaizika rasmi CCM Mlandizi Jumamosi

    Ally Bananga, ana nyadhifa gani Taifa, au ni nani CHADEMA ktk uongozi?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda Spika wangu kauli yako hii hukufikiria!

    ana makinda anatuayibisha wanawake wenzake
  14. H

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda Spika wangu kauli yako hii hukufikiria!

    hahahahah, mweeh
Back
Top Bottom