Jamani jeshi linasubiri nini kupindua hii nchi, mbona hii nchi ni kama tunajiongoza wenyewe, kila mwannchi anafanya yake,polisi wanafanya yao, jeshi linafanya yao,usalama wa taifa linafanya yake, wauza unga wanafanya yao,walimu wanafanya yao,Rushwa ishakuwa ndo mishahara kila sekta,jamani...