Recent content by H Badi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi mwalimu mweye degree

    acha dharau kijana,ww ukiulizwa umesoma wapi hata kuongea huongei,eti mpiga misuli,wkt wapiga misuli wote ndio wametokea KATA
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi point nitachaguliwa DIT?

    n PROBABILITY kjana,kuchagua tech-college kama chaguo la kwanza haimaanishi ndio watakupeleka(unaweza ukapelekwa advance au hata huko tech-college)
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wa bios,embu fungukeni hapa

    1:What is the PHRASE AMPHIBIOUS EXISTANCE 2.How did the findings of darwin influence the classification of organism
  4. H

    JamiiForums Tanzania help

    nahitaji chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya ujasiriamali Wakuu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    simple,watanzania wengi wanampenda sababu ana utajiri na si kingine ndugu yangu,so wengi wanafikiri wakimpa nafasi ya URAISI 2015 huenda maisha yao yakabadilika na kuwa GOOD LIFE,MONEY IS POWER my bro
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwa anayetaka kumuhamisha mwanafunzi kwenda shule ya bweni ya serikali au private nzuri

    hata mimi nataka nihame toka benjamin william mkapa high school kuhamia minaki,ila kiukweli wazazi wangu hawapo tayari kwa hili suala ndugu yangu,ntashukuru kweli kama ukinisaidia maana naona pale kwenda na kurudi ni ishu usafiri unanicost.endapo n kweli utakua na nia ya kunisaidia...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada madokta

    madokta hivi mtoto wa miezi 3 anaweza kupata ugonjwa wa UTI kweli???,nisaidieni jibu la hili swali madokta
  8. H

    JamiiForums Tanzania History question A-LEVEL

    father of history na ww UMEFELI na kama unahisi huna muda wa kufanya hilo swali MBONA umepata muda wa kuandika hiyo Comment ameshasema yy anatoa CHANGAMOTO that is why amesema hivo vitabu vya nyambari visihusike.JARIBU kuwa muelewa FATHER OF HISTORY
  9. H

    JamiiForums Tanzania History question A-LEVEL

    Nzunga unasema kwamba dogo angetafuta hiyo solution kwenye GOOGLE SEARCH,hivi aliijua vipi jamii forum bila google,ukiona hadi ameleta huku hilo swali ujue alishafanya attempt za kutafuta AMEKOSA au HAKUELEWA.So kama una msaada we ungesaidia tu na si kuanza KUONGEA hizo kauli ulizoziongea.HII NI...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada,kwa wataalamu wa chemistry tu

    thx mr mwamala,kwa hiyo inayo dissolve partially ni hiyo carboxylic acid i.e methanoic acid na kupelekea approximation.Nw nmekupata bro na i thnk unamaanisha ili tupate true value lazima i dissolve totally
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    tupo mkuu tunafuatilia kiumakini
  12. H

    JamiiForums Tanzania The Illuminati is real, and it's everywhere

    non sense
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada,kwa wataalamu wa chemistry tu

    barida wakuu nimepata CONCEPT nw
Back
Top Bottom