Viongozi wa dini wenyewe
Miongoni mwao kuna machawa
Miongoni mwao kuna matapeli
Kwan kuna maaskofu wangapi walikuwa bungeni chini ya CCM na bado wanatetea upuuzi licha ya kuwa ni Viongozi wa dini
Kuna kukumea na kuna kujihusisha na maswala ya siasa
Kukemea ni kama maaskofu wa TEC Pale wamekemea
Hawa maaskofu wa kkkt wanajihusisha moja kwa moja na siasa
Mpaka wanaendesha migomo ya mikataba
Uko ni kutengeza machawa huwezi kuwa na maono kama una andaliwa kusifu kila unacho kiona
How many years kuanzia nchi imepata uhuru hayo MAONO YAKO WAPI
Hivi kwanini sikuiz VIONGOZI wa dini wana jihusisha sana na siasa
Asa hawa maaskofu🙂
Ingawa alicho sema ni sahihi
Kama UDOM bila kuwa CCM hupew uongozi wa chuo
Bado huwezi kutishia kupeleka huduma kisa matatzo yako ma mbunge
Kwa wananchi ambao WANALIPA KODI AMBAYO INATUMIKA KWENYE BAJETI YA HYO SECTOR
vipi kama wanachi nao wakatishia kutokulipa kodi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.