Ni muda sasa wa Serikali kuirudishia hadhi Dar es salaam iitwe jiji kama zamani.
Kitendo kuiita eti mkoa wa Dar es salaam ni kuikosea heshima Dar es salaam, haiwezekani wala haiingii akilini eti Dar es Salaam iitwe mkoa halafu eti Mwanza na Arusha iitwe jiji la Mwanza au jiji la Arusha, huo ni...
Acha upoyoyo ww iv hapo ulipo unafaidika nn na ikulu? au unajua ni pesa kiasi gn itagharimu ktk kuuhudumia ikulu plus uwanja plus wafanyakaz nk. au ile unabiwa bajet ya serikali ni billion 700 kwa mfano af bajet ya matumiz ya kawaida billion 670 af bajet ya matendeleo bill30 ? ukipiga mahesab ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.