Gwimka
Senior Member
- Apr 4, 2021
- 101
- 112
Ni muda sasa wa Serikali kuirudishia hadhi Dar es salaam iitwe jiji kama zamani.
Kitendo kuiita eti mkoa wa Dar es salaam ni kuikosea heshima Dar es salaam, haiwezekani wala haiingii akilini eti Dar es Salaam iitwe mkoa halafu eti Mwanza na Arusha iitwe jiji la Mwanza au jiji la Arusha, huo ni upofu.