Recent content by gwidoti

  1. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Nimekuelewa sana mkuu, I wish nigekuwa na courage hiyo hiyo.... yan furaha yangu nimeeka kwa mtu nkitegemea atanipa furaha lakini wap naishia kupata maumivu kila siku nataman kutoka lakini nashindwa
  2. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jf kuna kabifu jinsia nimekaona

    Mambo
  3. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kuachwa

    Asante
  4. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kuachwa

    Doooh bora umesahau..story yako haitofautian sana na yangu..kwa upande mwngne umenipa courage ya ku move on bila kurudi kurudi maana huwa najionaga cwez kabisaa....jf imenisaidia sana kupata relief ya mambo yangu meng..
  5. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeukuta huu ujumbe kwaye simu ya Mpenzi wangu

    safi sana mkuu..ni dhambi usishawishike na maneno ya humu.
  6. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeukuta huu ujumbe kwaye simu ya Mpenzi wangu

    Mwaya kaka usijaribu wanakubeza tu...kama ww ni God fearing usijaribu kabisa...don't do it..wew move on tu usijichumie dhambi bure
  7. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeukuta huu ujumbe kwaye simu ya Mpenzi wangu

    Dooh hivi haya mambo kumbe yapo serious hivi jamni...looh..dooh dunia imeisha jamn...
  8. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ana tabia hizi, jua umeoa mwanamke Malaya (slut)

    Asante sana kaka...tunabadilika kutokana na tuliofanyiwa...
  9. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Make Makengeza ya hali ya juu
  10. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    W Wapare ni wapare na wachaga ni wachaga..they are 2 different things... Ndo maana kuna same na Kilimanjaro
  11. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Utafiti wake bado sana..unamwacha mchaga,msukuma..kuna kit tena apo...et mnyaturu...?!!ni rangi au wat about sehemu nyngne??ili mtu awe mzuri awe vip akidh vigezo...yeye kaona weupe wanyaturu anasena noumaa 😁😁
  12. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Hiyo list bado kabisa mkuu...list hakuna wachaga bado sana..alafu kuna makabila umeeka apo hayastahili kuwepo..kama uzuri unaangalia rangi sawa.. Ila kama unaanglia sector zote mchaga yupo top 3...
  13. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo unabubujika machozi

    😂😂😂 hayaa
  14. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo unabubujika machozi

    Nashukuru mungu walikuja wengi na nimepata faraja sna
  15. gwidoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo unabubujika machozi

    Wal
Back
Top Bottom