Recent content by gwego1

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kemikali za kuchenjulia dhahabu.

    Hahahahah Hadi nimecheka
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kemikali za kuchenjulia dhahabu.

    Wakuu habari. Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu. Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna watu Wana uhitaji wa hii huduma usisite kunitafuta nikuhudumie. Karibuni sana!! Mnisaidie nisirudi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Makongorosi Chunya mdada ambaye Hana phycologist PM Iko wazi.

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Unatuma mshahara wangu kweli? Dah nimeumia sana.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Ugonjwa naambiwa Hauna tiba inabidi nipewe tu pole mkuu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Halafu hii herpes nimeambiea Haina dawa nikweli ? Madaktari mnisaidie ndugu yenu... Nimetoka kumuuliza Hadi "GROK" anasema hamna dawa.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Shukurani mkuu nimeambiea ni Herpes dawa walizonipa ni dox kwa siku 14
  8. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Duh kumbe kaswende bado ipo? Dah
  9. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Mkuu hii ni serious au unanitania?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Eh nilipiga mkuu sema ndo hivyo mzigo umekaa vipele
  11. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Wakuu wasalaam. Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo. Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae! Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui...
  12. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

    Angalia ITV mkuu au online Tv mbali mbali wakati wa Mbowe hakukuwa na matangazo ya live.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Mkuu kabla sijakupa pole em Tunaomba hio code ya kurudisha sms zilizofutwa kwa masaa 24 yaliyopita,.. Ukiachana na hiyo Kuna ambayo inarudisha SMS za miezi mitatu nyuma mwenye kuijua hio code alishe mitaa.
Back
Top Bottom