Recent content by gwaya

  1. G

    JamiiForums Tanzania Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano

    Kiswahili kigumu ndugu yangu.....! yah, hiyo ni mmwWawe WPAN.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano

    Hivi karibuni kuna teknolojia mpya imegundulika,teknolojia hiyo utendaji kazi wake ni kama Bluetooth ila yenyewe ina huwezo mkubwa zaidi ya bluetooth.Inasemekana hiyo teknolojia itaweza kuonda matumizi ya nyaya majumbani,maofisini, pia na mikutanoni.Na dhumuni kubwa kabisa ni kuviwezesha...
  3. G

    JamiiForums Tanzania kuunganisha kompyuta kwa kutumia Ad-Hoc Network.

    Katika suala zima la mawasiliano hasa bila kutumia nyaya(yani wireless communication) tuna aina mbila za toplogy, ya kwanza uitwa Ad-Hoc Network topology na aina ya pili uitwa infrastructure network topology . Ad-Hoc Network topology :hii ni aina ya topology ambayo mara nyingi utumika...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nani anatudharau sana waafrica kati ya hawa 3?

    Mimi ni Mtanzania naishi china kwasasa, wachina nao niwabaguzi wa rangi sana hasa ukiwa mweusi alafu unatokea africa ndio kabisa, tena ukiwa mweusi saaana sana kama wenzetu wasudan unaweza ukaingia sehemu wachina wakakimbia wote au kama ni watoto wakaanza kulia kama kwamba wamevamiwa na mtu...
Back
Top Bottom