JamiiForums Tanzania
Siasa
Hakuna uhuru wowote wa kisiasa,kiuchumi,na kijamii utakaowafurahisha watanzania wengi wanyonge,wenye njaa,maradhi,elimu duni,huduma za afya mbovu,ukosefu wa ajira kwa vijana,kilimo cha makaratasi,mishahara isyo na uwiano kwa watumishi,na utawala wakifalme.Hivyo watanzania watafakali jinsi ya...