Recent content by Gwanxoo

  1. G

    Natafuta Business Partener

    Okay makini
  2. G

    Ni upotoshwaji kuita kuwa Demokrasia si sawa na kinywaji cha "coca-cola" bali demokrasia ina tafsiri moja tu Dunia nzima

    Hahahahaha hiyo ni maandishi tu ya kuelezea demokrasia lakini demokrasia ni tofauti na wanavyosema wrote ni mashahidi
  3. G

    Natafuta Business Partener

    Okay upo maeneo ya wapi?
  4. G

    SoC01 Hakuna haja ya kudai Demokrasia

    Okay vizuri lakini inatakiwa tubadilike kwa maana maendeleo ni personal na uchumi ni general sasa nakuuliza swali kipi kinamzaa mwenzake kati ya uchumi na maendeleo?
  5. G

    Natafuta Business Partener

    Kiongozi vipi umefanikiwa kwanza au bado?
  6. G

    SoC01 Watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji

    Kama ilivyo ada Leo nakuja na hizi tafakuri alafu ujitafakari...watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji sana. Hahaha kuna jamaaa nilikutana nae analalamika mpaka analaumu kwanini kazaliwa kwenye ukoo alioko...daaah laana hii..lakini Leo tutafakari je...
  7. G

    SoC01 Hakuna haja ya kudai Demokrasia

    Jamani ili demokrasia iwepo lazima udikteta uwepo maana kama kwenye kuna demokrasia sasa tunakuwa tunadai nini? Udikteta au maendeleo. Na ubaya wa waafrika tunadai demokrasia badala ya kudai maendeleo maana Mimi naamini maendeleo na mabadiliko ya kimaisha yanamfanya mtu kusahau...
  8. G

    Makato ya CRDB Bank ni makubwa

    Inabidi competition iongezeke makampuni yanaonea... Wanna tufungueni makampuni
  9. G

    CRDB rudisha hela za wateja

    Daaah Mimi siwaelewi kabisa nimeamisha pesa kwenda halopesa ila pesa haijaingia wala nini na balance kule wamekata duuuh
Back
Top Bottom