Recent content by gwakipanga

  1. gwakipanga

    PreGE2025 Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

    Wadanganyika tushauzwa na ccm. Zanzibar ina wimbo wa taifa, ina bendera, ina bunge, mwingi anapata miariko nje kama rais wa Zanzibar. Muungano umebaki wizara tatu kwa maslahi ya Zanzibar. Wizara ya fedha, ulinzi, na mambo ya nje, ila serikali tatu ni robo lengine la ulaji kwa wanasiasa kama...
  2. gwakipanga

    Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

    Ukiona una mtoto mwenye hulka zinazofanana na mtoa post haraka sana kambadirishe na pepeta iambulie, maana wahuni si watu wazuri, awachelewi kufanyi wali ukawa bwabwa kisha wale kisamvu kopo.
  3. gwakipanga

    Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

    Ukiona una mtoto mwenye hulka zinazofanana na mtoa post haraka sana kambadirishe na pepeta iambulie, maana wahuni si watu wazuri, awachelewi kufanyi wali ukawa bwabwa kisha wale kisamvu kopo.
  4. gwakipanga

    Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia

    Vyombo vya usalama vya maziwa makuu, vipo uchi mbele ya kagame. Kagame ana uwezo kufanya atakavyo. Haitaji digrii kulijua hili, angalia anachokifanya mashariki ya Congo, wote wamefyata anawapapasa makalio atakavyo.
  5. gwakipanga

    PreGE2025 Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

    KWa mpumbavu tu ndiyo anakuja na majibu na maswali ya jumla jumla. Na kwa vile nchi ya wajinga kazi yao kubwa ni kukenua na kushangilia hata ushuzi wa wakuu. Unavyokuja na majibu ya jumla kama shule ngapi zimejengwa uje na takwimu ya watu milioni sita wa kipindi hicho ni asilimia ngapi waliweza...
  6. gwakipanga

    Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

    Wanasiasa wanafanya hivyo wanajua hii ni ya majuha, kesho utasikia wabunge wanataka posho ziongezwe nani wakizuia haya yasifanyike!? Hakuna na ndiyo maana kila siku hua nasema hakuna viumbe wabaya hapa duniani kama wanasiasa na ndiyo chanzo cha shida zote hizi. Huduma ya afya kwa wazee...
  7. gwakipanga

    Rais Samia: Nitaifumua Wizara ya Mambo ya Nje

    Hawa jamaa Dah! Yaani kama wananchi yao. Hawashikiki kama wizara ya maliasili na utalii. Kiukweli balozi zetu zinakuwa kama mawakala wa nchi walizotumwa wanasahau kama wapo pale kwa ajili ya watanzania. Watanzania watakushukuru kama kweli utaifumua hii wizara, maana watendaji wengi wao kama si...
  8. gwakipanga

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    Tatizo la wanasiasa ni hilo, hawashangai kipindi cha uchaguzi wanapata kura zaidi ya idadi ukilinganisha na wanachama wao walio hai. Wanashindwa kujiuliza au wanajua ila sema uroho wanatupuuzia sisi tusio na vyama tunawapigia kura, mijadara mingi ya katiba ni jinsi gani katiba iwape madaraka...
  9. gwakipanga

    DOKEZO Wanasiasa na mipango ovu ya kuiua eGA

    NEST imejengwa na nani PPRA wanasema October ndiyo unaanza kutumika
  10. gwakipanga

    Rais wamulike maafisa balozi wamegeuka Mungu watu huko ughaibuni!

    Maafisa wengi wa wizara ya mambo ya nje. Wanajiona ni watumishi special. Na ujinga wa wengi wao sio wote hawajua wanawakilisha watanzania. Wanigeria mbali na makandokando ya watu wao lakini linapofika swala la kuwasimamia watu wao hawapepesi macho. Lakini nenda balozi za Tanzania, unaambulia...
  11. gwakipanga

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Na mwelewa anaposema hii nchi sio ya wanasiasa peke yao. Ila kwa kauli hii, naona itaenda kutupa mgombea binafsi pindi watakapomaliza mchakato wa kukusanya maoni. Rais anajua kama wote sio wanasiasa ila kwa sisi tusio wanasiasa tukitaka uongozi tunaambiwa tujiunge na vyama vya siasa wakati sio...
  12. gwakipanga

    Mwigulu Nchemba "Miradi Itasimama Kama Mikataba Yote Ikiletwa Bungeni"

    Ndiyo maana nasema siku zote hakuna watu wenye roho mbaya kama wanasiasa, kwa roho mbaya ya mwigulu na wanasiasa wenzie, eti mikataba inayohusu watanzania isijadiliwe na wawakilishi wa wananchi. Eti kukaa kikao cha bunge siku mbili tatu miradi itachelewa ila miradi kuchelewa kufata sheria za...
  13. gwakipanga

    TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

    Tatizo sio mitumba, ila kununua mitumba kwa bei ya brand new. Yaani sisi waafrika sijui tumerogwa na nani, na ndiyo maana kila siku hua nasema kama kungekuwa sheria inaruhusu kuchagua mtu wa kuua, basi kila mwaka tunapoadhimisha sherehe za uhuru basi mimi ningekuwa nachagua kichwa cha mwanasiasa...
  14. gwakipanga

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Uzi upo page ya 40+ unataka kuunajisi, jambo kama unaona halikuhusu, kwanini usipite tu na zako. JF ni pana sana. Sisi wenzio tukiona uzi ambao hauruhusu tunajipitia na zetu. Kama tuna afya ya akili wasaikolojia tunawajua tutaenda tu. Jaribu kuwa mstarabu basi, usela mavi sio kaka.
  15. gwakipanga

    Jakaya Kikwete: Walimu wa Masters wafundishe shule za msingi

    Masters sio tatizo, tatizo ni kwenye malipo, ndiyo maana profesa wa chuo anakwenda kuwa mbunge anajua ndani ya miaka mitano malipo anayopata asingepata hata kama angefundisha miaka 80. Serikali iboreshe masilahi ya walimu alafu waone kama hizo masters hazito fundisha shule za msingi. Kupanga ni...
Back
Top Bottom