Nataka kufanya biashara Ya Mkaa Kutoka Mkoani kuleta Dar es Salaam.
Je! Dar Mkaa Kiroba huwa Wanauzaga bei gani?
Na vipi Processes za Watu wa Maliasili kuhusu Kupata Vibali vya Kufanya Biashara iyo Bila Mashaka mashaka Yakusumbuliwa.
Ahsante!
Yandani ktk mahusiano tuwaachie Wandani wenyewe wala tusitoe hukumu na kumuona mtu Fulani mkosaji,, Kwan tunachokifanya ni sawa na kujifanya unakijua vizuri kitabu na kudiliki hata kukielezea kwakuangalia Jarida La nnje tu Pasipo kukisoma kilichopo Ndani.
Habarini za muda huu?
Poleni sana na majukumu ya kila siku,
Leo nimekuja na swali ndugu zangu, kwa atakayekuwa mjuzi basi atatusaidia kutuelewesha sote tunao hitaji uelewa juu ya hili.
Kima cha chini kabisa cha mtaji ambacho mtu anatakiwa awenacho ni kipi katika kufungua sehemu ya kujaza gess...
Shukran sana kwa urahisi ulio tupatia watanzani katika kuagiza bidhaa nnje ya Nchi.
Je, kama mtu anahitaji kuja ofisini kwenu moja kwa moja Mnapatikana wapi?
Habari zenu za Majukumu Ndugu zangu.
Bila shaka Muwazima, nami Nashukuru kama Ni ivyo ila Kama hauko vizuri basi usipoteze Matumaini yako Kwa Mwenyezi Mungu endelea kumuomba.
Nina hitaji kufanya biashara ya Nguo za Mitumba aina Ya Suluali Za Cadet.
Nimegundua ninapo ishi hizi nguo Zina Soko...
Nina Line ya Halotel Nilikuwa sijaitumia Ndani ya miez mitatu ikafungiwa. Je ninaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaifungua au mpaka nisajiri Line nyingine
Nina Pesa TSh. 500,000/= (Laki tano) Nina taka Nifanye biashara Nipo mkoani (Mazingira ya mjini) ila sijajua Nifanye biashara gani Maana si mzoefu kabisa wa biashara na Hali bado ni Ngumu Ninaona kitu cha msingi ni bora kujichanganya na Pesa hii hii Ndogo niliyo Nayo.
Shukrani kwa usikivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.