Recent content by Gwahil

  1. Gwahil

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni kuiondoa Google kwenye Kwenye Message App

    Hapo mkuu labda nikuelekeza through Step by Step maana nimesahau kidogo setting za Google pixel [emoji28] mpaka nione ndo nitakumbuka..
  2. Gwahil

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

    Wakati wanasaini mkataba kipengele cha mil 500 ya kuvunja mkataba hawakukiona??
  3. Gwahil

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

    Tutajie nyimbo moja ambayo mondi alifosi aingize vocal zake [emoji23] moja tuuu
  4. Gwahil

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

    Una uwezo wa kukataa mana hakushikii bunduki ili ukubaLi [emoji2217]
  5. Gwahil

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi lakini...

    Nafikiri hakuna sababu ya hizi Limitations juu ya foreign players, mana tunaweza kusema kila timu iruhusu mchezaji wa kigeni mmoja lakini bado tukashindwa kupata tunachokitaka, point muhimu kwa nionavyo mimi ni kwamba hizi timu zetu zijitahidi kuwa na academy halafu hapo hapo TFF itie mkono wake...
  6. Gwahil

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi lakini...

    Nafikiri kutoza kodi kama mataifa mengine haiwezi kuwa muarobaini, kuwe tu na mpango mkakati juu ya kuvizishika na kuviibua vipaji vya wazawa plus wazawa wenyewe waache kubweteka.
Back
Top Bottom