Ahsante kwa Ushauri mkuu,Ukweli nikuwa huku online learning kuacha sipo tayari kabisa.Hasa Kwa kuwa nachojifunza nimeona kinagusa kabisa maisha yangu na kimenibadilisha kwa kiasi fulani.
Ninachotaka kujua ni ugumu wa huku kwingine kama nitaweza kuchagua moja ili nifanye na Ile ya online, 2 in one.
Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu kimoja chini marekani(online) vilevile akawa ameomba tena kuwekwa kwenye mpango wa masomo...
Magufuli Alikuwa raisi mzalendo kuliko Marais wote walipata kutokea Tanzania.
Naamini hata Vifo vya October 29 visingetokea chini yake kwani alipenda raia wake.
Jaribu kumuelewa mtoa mada.Ni kuwa kutaka kujua sababu ya jambo fulani kufanyika kunaweza kuwa na sababu mbalimbali,lakini sababu ambayo imewagusa wengi inaweza kuwa sababu kuu.
Mfano:Chanzo cha watoto wa mtaani ni uyatima,haimaanishi watoto wote wa mtaani ni mayatima.
Mimi nilisumbuliwa sana na vidonda vya tumbo.Katika kuhangaika Sana nikakutana na Ushauri wa kutumia juisi ya cabbage.Ingawa nilikua napata nafuu mara chache nikakutana na hii ya kutumia juisi ya ukwaju wenyewe harisia.Nilitumia mara ya kwanza tu nikaanza kuona mabadiriko.Nikatumia kama dozi ya...
Bila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.
Kwanini usilipe tu hiyo ada kama makubaliano yaliyowekwa kuliko kutumia kinga ya watoto kutosumbuliwa.Au muhamishie mtoto shule zisizo toza Ada kama kulipa hiyo ada ni utata ili kumuepusha mtoto na hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.