Tunakoelekea CCM watakuja na sheria ya kuzuia kuzaana kwa kasi. Kama watu waliowathamini kama wapigakura wao na leo wanawageuka na kuthamini usafi ambao mwanzoni waliufumbia macho basi wana njia mbadala ya kubaki madarakani bila kuhitaji wananchi kutoka baadhi ya makundi.
Labda alitamani ile jezi ya Samia aliyoinadi huko majuu siku za karibuni ndio iwe jezi ya timu ya taifa ya Tanzania hata kama inafanana na kichwa cha mwendawazimu.
Siku zote mtu aliyezoea madili ya wizi hudhani kila mtumishi ana mpango ya wizi. Kiuhalisia kila mwenye nafasi yake huko serekalini akipata upenyo ni kupiga tu !! Ngondo inaanza pale ambapo dili limepita bila kiongozi mwenye mamlaka kuhusishwa .... Utasikia tu kuwa ametumwa na Samia ahakikishe...
Kimsingi kila mkoa au kila jimbo lina mkusanyiko wa koo au nasaba zinazounda kabila la eneo husika. Mgawanyiko huo unaenda sambamba na mgawanyo wa rasilimali katika kila mikoa inayounda JMT lakini huko nyuma enzi za ukoloni kulikuwepo mgawanyo wa Tanganyika kwa majimbo.
Mfumo wa majimbo au mikoa...
Kaenda South kufanya nini huku akijua anahitajika mahakamani kama shahidi muhimu? Jeshi la SADC lililoshindwa vita kule Goma si liko pale Chato? Mahakama ikaze tu jamaa wakatoe ushahidi mahakamani.:mad:
Na lile lizee linalofanana na Orangutan liliwahi kusema bila aibu tena kwa kujiamini kuwa CCM wanaweza kufanya maridhiano na vyama vingine vipatavyo 18 bila CHADEMA.... Sijui wanahangaika nini kama wana ubavu huo. 💢
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia mia na angalizo ulilolitoa kwao kama mtu usiye na ubatizo wa chama kama mimi, nakazia msimamo huo kwamba hata mimi ninayewaunga mkono hata kwa kuchangia tone tone kila ninapojisikia .... Nitaufunga huo mfereji mazima. 😡
Kwa siasa za Tanzania zilipofikia ambapo kwa hakika ni kile kilele maarufu cha Zenith, Tanzania kama ilivyo sasa hadi hapa ilipofikia na kwa yote niliyoyaona katika maisha yangu haya yanayolingana na uhuru wa Tanganyika, nadiriki kusema kuwa tumepotea njia na kama nchi tunatakiwa kuanza UPYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.