Logo ya Dao System, " Dao" ni programu fupi ya mazoezi ya kujilinda, ambayo ilianzishwa nchini tanzania na mwl. Mazeru mwaka 2015.
Kwa lengo la kuipatia jamii uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji,wauaji,magonjwa na mazingira hatarishi. Aidha, kuendeleza mbinu za...