Mkoa wa kigoma - Cost
Mbegu: 1000kg*700 = 700,000/=
Kukodi shamba = 200,000/=
Kulima =200,000/=
Palizi ya kwanza =200,000/=
Palizi ya pili = 200,000/=
Palizi ya tatu = 200,000/=
Note: Hili ni kadirio la juu,bei ya mbegu kwa sasa ni kati ya shs:500/= na 700/=, kuanzia mwezi wa nane itakuwa juu...