Recent content by Gulwa

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi.

    Mimi kwenye mazishi yangu sitaki mambo ya wasifu wa marehemu, niombee tu sio takataka nyingine
  2. G

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Uchumi wa kwenye makaratasi tu kufurahisha malkia juha na machawa wake kama wewe
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Kutoa sadaka na zaka ni kama shukurani tu, ila Mungu hafanyi biashara ya kuuza baraka kwa vitu. Vitu vyote ni mali yake, hahitaji pesa wala chakula. Tenda wema uende zako, usingoje shukrani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Maisha Yana Maana Gani Hasa?

    Hilo swali wamelitafakaribwatu wengi tangu kuimbwa kwa ulimwengu, wanafalsafa wengi wamehamasika nalo. dini nazo zikaingilia iia bado kwa wengi ni kitendawili. Soma kitabu cha Ayubu katika biblia uone majibu yake, huenda yakakuangazia kidogo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Baraka za mwenyezi Mungu hazipatikani kwa kutoa sadaka wala zaka
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

    Pole kwa aliyepoteza wawili ndani ya mwezi mmoja
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba, wote tunachepuka

    Usiogope sababu ya magonjwa bali uwe mwadilifu toka rohoni kwani hata wasiochepuka huugua na kufa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba, wote tunachepuka

    Uko sahihi sema tu wengi huwa hatuko tayari kukiri madhaifu yetu. Viongozi wa dini aslimia kubwa ni wazinzi wa kutupwa japo kwenye nyumba za ibada kujifanya kuwa watakatifu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Mapenzi hayana kificho, yaingiapo moyoni mwako, mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo. RIP Gurumo
  10. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba asimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei wa Kanisa la Anglikana Tanzania

    Makanisa ya kiprotestanti yanazidi kunyesha laana ya usaliti kila siku na kuzidi kuabisha ukristo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Sasa hivi tuna wapinzani waadilifu, wasio na chembe ya ufisadi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kawaida viongozi wasio na akili wakipata madaraka hutumia mabavu sababu hawawezi kutumia akili ambayo hawana
  13. G

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Soma vizuri biblia, kanisa katoliki limejengwa juu ya mwamba, litapitia misukosuko ila halitatikisika milele
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

    Sidhani kama kuna mtu fisadi na mwizi kuzidi mwigulu, uliza mali anazomiliki ukilinganisha na kipato chake halali. Mabasi, timu za mipira nk. Huendelea wewe ni chawa wake amekutanguliza kwenye agenda yake
  15. G

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Hii serikali inaongozwa na wajinga watupu, kuanzia juu kabisa hadi chini kabisa
Back
Top Bottom