Recent content by Gulio Store

  1. Gulio Store

    Mpaka sasa, ni asilimia 12 tuu ya laini zote za simu zimesajilia kwa alama za vidole

    Line haziwezi kufungwa maana itakuwa ni hasara kwa makampuni
  2. Gulio Store

    Mnaonunua vitu chimbo la Alibaba tukutane hapa tupeane tips mbili tatu

    Zamani walikuwa wanatumia njia ya posta shipping cost gharama ilikuwa ni cheap sana lakini sasa dhl Lakini ata hivyo hawa jamaa wao huwa wanauza kwa contena zima bidhaa zao zinatoka kiwandani moj kw moj jaribu
  3. Gulio Store

    Kwa wenye mtaji kuanzia 50,000/- tuungane tuwekeze katika hili

    Inahusu nini si ungeweka wazi hapa hapa ili ambaye haimuhusu anakuwa anapita unataka kila mtu mpaka aanze kupakua pakua vitu tena ukute hakuna mchongo wowote unamuhusu
  4. Gulio Store

    Biashara ya 'kiboya' lakini yenye pesa ndefu!

    Haiwezekani kabisa kupita pita kwenye nyumba za watu si ataonekana ni mwizi lakini pia ata akipata kazi hayo mapato atakusanyaje mana watu inabidi awafuate
  5. Gulio Store

    Serikali simamieni vibarua walipwe hata Tsh 7,800 kwa siku

    sasa kama serikali imeshindwa kupigania wasomi waliosomea mkopo wataweza kwenu
  6. Gulio Store

    Hongera Marlaw kwa kurudi Tena kwa game

    Yani huyu anatuletea nyimbo alizo record mwaka 2007
Back
Top Bottom