Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa.
Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
Katika vitabu vingi vya kihistoria Adolf Hitler amekua akionekana kama kiongozi katili aliewahi kutokea duniani lakini watu hushindwa kuangalia upande mwema wa Adolf Hitler.
kwanza aliongeza namba ya ajira kwa wajerumani, pili aliongeza productivity lakini bado watu hawauoni huu uzuri na kubaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.