Recent content by GTMOJA

  1. G

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mzee kwahiyo kunasiku mtalianzisha ilikulipiza kisasi maana mpo ndani ya chungu
  2. G

    GE2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

    Maisha ni popote tu wakuu
  3. G

    Wanaohitimu MUCE na DUCE

    Kila kitu ni udsm kuanzia transcript ,gamba lenyewe,taratibu za chuo,mitihan,uongoz na mambo mengine
  4. G

    GE2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

    Mtatiro bado ni aset ya taifa hili mimi namwamin sana huyu mtu
  5. G

    GE2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

    Mtatiro anasoma jamaaa anataka aitwe dr mtatiro
  6. G

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Haya mambo ni makubwa sana kiukweli zanzibar ilipata uhuru mwaka 1963 ingawaje mapinduz yalikuja mwaka mmoja baadae hapa kuna mambo makuu mawili mosi kuna watu walikuwa wakinufaika na ile serikali ya mwaka 1963 na pili ni wengine walionufaika na serikali ya 1964 yote kwa yote kuna mambo...
  7. G

    Mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na astashaada yanaua walimu kisaikolojia

    Mwalimu ktk ngazi hizo za mafunzo wanaonewa sana kupita kiasi ni bora vyuo vya ualim vya serikali vile ni kambi za jeshi iliikulikane ni jeshi kuliko ilivyo hivi sasa
  8. G

    Ewe mwalimu toa maoni yako hapa kuhusu uchovu wa chama cha walimu kwa sasa

    Mwl wa Tanzania=mtumishi wa mungu hakuna shida(dooo tabu )kila kitu
  9. G

    Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    Wasomi hao bhana wa Big results ni great thinkers jrz
  10. G

    Mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na astashaada yanaua walimu kisaikolojia

    Nimefanya utafiti ktk vyuo vya serikali vinavyotoa diploma(stashahada) na certificate(astashahada) ya ualimu nimegundua yafuatayo 1,Elimu ngazi hizo ndizo zinafundisha sana namna ya mwl kufundisha hata kuliko wale wenye degree(shahada). 2. Walimu tanajali wananyanyaswa sana nakuwafanya...
Back
Top Bottom