Recent content by gspace

  1. G

    Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Yani ni hivyo tu hata mimi najiuliza kwa nini Dr alimpigia simu ili aje kujiunga na chadema au mtaji wa wenyeviti wa mikoa wa CCM na wanachama wa CCM kuamia chadema kungeondoa ,ufisadi wa lowasa
  2. G

    Wana I.T wa Bongo

    Kweli kabisa kwa mfano kujadili jinsi serikali inavyopoteza kila mara pesa kuandikisha watu, mtanzania anavitambulisho vingi kweli, vitambulisho vya urai,kupigia kula ,bima ya afya ,kazi nazani taarifa zingeweza kuungashwa na kuwa na taarifa zinazoishi kwa kutumia mfumo wa kopyuta
  3. G

    Kampuni ya SBT

    Ofc zao zipo karb na TTCL jengo jepya posta pale
  4. G

    Magufuli mgeni rasmi ufunguzi wa Kombe la Kagame

    Malinzi anajipendekeza mara ya kwanza alizani lowasa atakuwa ndie raisi akaenda kwake sasa hivi anasahihisha makosa yake.
  5. G

    Hatari: Wanafunzi wa kike shule moja Bagamoyo wanashiriki mapenzi ya jinsia moja

    Tosamaganga wanaume rafiki zao iringa wanawake ingesaidia sana kuondoa huu mchezo wa jinsia moja ,kuwa na rafiki wa kiume shule jirani wanawasiliana kwa barua au sms ingesaidia sana.
  6. G

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Basi mkuu idawa kwakuwa kasha kisoma atupe dondoo kwa ufupi mpaka mwisho
  7. G

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Eeee Mueshimiwa idawa hata wkend ujaweka story,basi tuambie upo wapi tuje kutoa copy kitabu
  8. G

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Duh umetumia nguvu nyingi malipo unayopata buku mbili za viroba viwili vya nyagi
  9. G

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Huu ni unyanyasaji wa haki ya mtandao ,k/f 20 (a) CPA RE 2019
  10. G

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Nilijua idawa karudi ,sawa napita tu
  11. G

    Hii ndio karata ya mwisho kwa Nape

    Bablosa hiyo takwimu yako ni ya mwaka gani kwa taarifa yako kalibia kila kijiji kina Ukumbi wa Tv kwani source ya umeme sio tanesco peke yake, mdaharo wafanye tu
  12. G

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Mkuu kimyaa kikuu kiwe na mshindo mkuu
  13. G

    Richmond: Watanzania tulimlipa Lowassa Mil 150 kila siku...

    Bwana seleman umeweka jina lako ili iwe rahisi kupata malipo yako komaa ndo muda wako huu.
  14. G

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Ok kama weekends ndo imeanza matopic yanamiminika tuwesote idawa wkends hii tufurahie.
Back
Top Bottom