Recent content by gsmsolution2009

  1. G

    JamiiForums Tanzania 2 in 1 laminating and bubble remover

    Kwa mafundi simu wanaofanya kazi ya kutengeneza vioo vya simu mtakuwa mnaijua hii kitu kazi yake kwa maelezo zaidi nipigie 0713439364
  2. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo (display)cha samsung j7

    Wote mnaohitaji vioo mnaweza mkanicheki kwa namba 0713439364
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya unaponyimwa haki ya dhamana

    Hata mie naelewa hivyo ila kinachoonekana hapa ni mfungua mashtaka anatumia nguvu ya pesa na vilevile ndugu yangu alikamatwa tangu alhamisi wamemweka ndani halafu jalada la mashtaka imefunguliwa jana jumamosi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya unaponyimwa haki ya dhamana

    Wadau kama kuna mtu anajua naomba anifahamishe nini natakiwa kufanya kama maaskari wanakataa kutoa dhamana katika kesi ya madai kwa sababu mfungua mashtaka anakataa mtu huyo asipewe dhamana na wao wanamsikiliza yeye
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nifanye nini ili aweze kutoka?

    Siku ya tatu leo yupo ndani
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nifanye nini ili aweze kutoka?

    Kitu ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba jalada halijafunguliwa sasa wamemweka ndani kwa sababu zipi
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nifanye nini ili aweze kutoka?

    Nina ndugu yangu askari wa central wamemchukua tangu juzi wamemweka lupango tangu juzi tunahangaika hawataki kutatajia namba ya jalada ya kesi wala kututajia mpelelezi wa kesi na hawataki kumpatia dhamana wanafanya hivyo kwa sababu wako karibu sana na aliyefungua kesi ya madai kwa sababu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Elnet Africa

    Kama kuna mtu anataka ajiunge chini yangu anitafute kwa namba yangu ya whatsapp nimuunganishe 0682786235
  9. G

    JamiiForums Tanzania Elnet Africa

    Mfumo ni mzuri na unaeleweka ila kazi ni kutafuta watu 6 ambao watakuwa chini yako ambao nao wanatakiwa kuwa serious mpaka mwisho wa mchezo na watakaokuwa china ya hao sita na wanatakiwa kuwa serious na kuendelea mpaka mtu wa mwisho
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vioo vya iphnoe

    Kwa mahitaji ya vioo vya iphone aina zote na kwa bei nafuu kuliko sehemu yeyote karibuni mtaa wa swahili na muhoro au piga simu namba 0682786235
  11. G

    JamiiForums Tanzania VIOO VYA IPHONE

    Kwa mahitaji ya vioo vya iphone aina zote na kwa bei nafuu kuliko sehemu yeyote karibuni mtaa wa swahili na muhoro au piga simu namba 0682786235
  12. G

    JamiiForums Tanzania Iphone 5s inauzwa

    Iphone 5s 64gb inauzwa 500000 kwa anayehitaji anipigie 0713439364
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kioo cha note II.

    Kama bado unahitaji ninacho used kipo fresh kabisa inatakiwa 200000 nipigie 0713439364
  14. G

    JamiiForums Tanzania Iphone 6s 64 gb

    Unamaanisha nini???
  15. G

    JamiiForums Tanzania Iphone 6s 64 gb

    Kariakoo
Back
Top Bottom