Recent content by GSL

  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza

    We jamaa punguza kubing'oa.......unabong'oa mpaka utumbo unatoka nje
  2. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uasi ni nini? Rebellion ni nini? Uhaini ni nini?

    We jamaa umebong'oa mpaka akili sasa imehamia matakoni....mpuuzi sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

    We utakuwa mbong'oaji wewe....si bure
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wazo huru: PPP's ya Tanesco na wamiliki wa nyumba Tanzania (133.2 gigawatts)

    WE jamaa, haya mambo kwa ninavyoona unayaongelea itoshe kusema HAUNA uelewa nayo kabisa...siwezi kujadiliana na wewe hii mada. Niliposema mwanzoni kuwa kuiita kW kuwa ndio Unit, badala ya kWh, ilitosha kuonyesha kuwa hata hizo hesabu zako haziwezi kuwa sawa. Mambo ya Pumped storage mimi nayaishi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wazo huru: PPP's ya Tanesco na wamiliki wa nyumba Tanzania (133.2 gigawatts)

    This is too theoretical... Na kama kw ndio unaita unit, then hauna uelewa wa hiki unachoeleza hapa. Na kama definition ya pumped storage ndio hiyo uliyotoa, basi nakushauri ujikite kwenye ambayo una uelewa nayo...na nadhani power generation, transmission, distribution na storage sio miongoni mwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

    Utakuwa unapumuliwa wewe.....sio bure
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Siku zote huwa nakuita mbong'oaji....ila sasa nadhani unaelekea kuwa bwabwa kabisa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Mbunge Florent Kyombo (CCM), adai Kagera inapakana na Sudan Kusini

    Sio kweli! Huyu aligombea Ubunge akitokea kwenye Ukurugenzi wa Wilaya...nadhani Mvomero. Na alianza kugombea 2015...akakosa na ndio wale makada waliopelekwa na JPM kwenye ukurugenzi na ukuu wa wilaya....Hivyo ni CCM toka kitambo sana.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

    Ndugu zangu, kwa kipindi kirefu sana tumekuwa tunawaachia wanasiasa watoe ufafanuzi hata kwa mambo ambayo kitaaluma na kiuzoefu hawana weledi wa kutosha. Kupitia jukwaa hili naomba nitoe wito kwa wanajamvi hili tuwe tayari kuelimisha wengine yanapojitokeza masuala mtambuka kama hili la Power...
  10. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Kwa jinsi siku zinavyokwenda toka upigwe chini kura za maoni ndivyo nazidi kujiridhisha kuwa sikuwa nimekosea kutokukuchukulia mtu makini toka nijiunge Jamii Forums. Ni mtu unayejifanyaga impartial lakini kumbe sio kweli. Mnafiki na mganga njaa kama wapuuzi wenzio wengi tu. Pathetic. Mithread...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Safi kabisa. Nakumbuka nilikuwa nasoma sana michango yako mwaka 2017 wakati ya sakata la makinikia na zile professorial rubbish reports zake... Binafsi niko kwenye sekta hii....japo sio kwa muda mrefu kama wewe....but I do wish wazoefu kama wewe mtaendelea kutuelimisha. Katika sekta Watanzania...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Walioiuza CHADEMA mwaka 2015 sasa hivi ndio wanachukua hatamu huku wakijinadi hawanunuliki, Watanzania hawajasahau

    Kinachonikera ni pesa yangu ya kodi kutumika kumlipa huyu CD..... Mashavu kama mimba ya joroe...
  13. G

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aiomba Mahakama kuwafunga miaka mingi wanafunzi waliochoma shule. Wazazi wao wakitaka kuwadhamini nao wafungwe jela

    Kumbe wewe ni Mwana Tabora school mwenzangu? Mimi nimepita pale 1988 mpaka 1994.
  14. G

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli International Airport

    Pita barabara ya kutoka Chato kwenda Muleba uone jinsi kila shule ya msingi na sekondari 'zilivyogombania' kuitwa jina lake, tena kipindi hicho akiwa bado mbunge/waziri tu. Ikabidi sasa shule zitofautishwe kwa namba..Magufuli 1, 2, 3, etc. Unabaki kujiuliza hivi hakukuwa na majina mengine mpaka...
Back
Top Bottom