Recent content by GS17

  1. GS17

    KASP Virus (.KASP File)

    Wanatak pesa, yaan dahhh
  2. GS17

    KASP Virus (.KASP File)

    Thanks, Atari sana hii kitu ni Balaa...
  3. GS17

    KASP Virus (.KASP File)

    Msaada tafadhali, Files zangu zote zimekua encrypted na uyo jamaa apo juu. Files zote zimekua na Extension ya (.kasp) siwez ku access chochote. Mwenye kujua Removal Tool, au njia yeyote ya kumtoa, Let me know!
  4. GS17

    Mafua makali ya kuku

    Kuku wangu, wanakoroma banda zima sasa, (Layers-Bovan Brown) Utagaji umeshuka sana, kuliko maelezo, Nshatumia Erovet-20 (Enrofloxacin) Siku tano mfululizo, lakini bado hali ni tete, wanakoroma sana, pia hawatagi, kula pia hawali vizuri, sana kama mwanzo, Mafua Mafua jamani, yanaturudisha...
  5. GS17

    Bunge lapitisha muswada wa kuharamisha umiliki wa silaha bila ruhusa ya IGP

    Naona watu wanajiandaa kutawala kimabavu, Sheria zipo, Ila hazitoshi, tunahamisha mamlaka kwa Mtu Mmoja mmoja, Hii si sawa, Mbona hatuoni wanaomiliki silaha kwa uhalali, tena kwa Mujibu wa Sheria, wakiwa na Matatizo yeyotee,??? Wahalifu, ndo kila siku kukimbizana na Police, wanamiliki silaha...
Back
Top Bottom