Recent content by Ground Zero

  1. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania January Makamba yupo nyuma ya MB 8

    Haiingii akilini kwamba January ambaye ni mgombea kijana azuie mjadala wa vijana wenzake anaowategemea wamuunge mkono huku akijua kufanya hivyo kutapunguza ushawishi wake kwao. Ungesema wapinzani wake labda wamekula njama ili January aonekane kashindwa ningekuelewa kidogo.
  2. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mlilia urais aliyeshindwa kuongoza Wizara

    We una akili kweli. Unaharibu ubongo wako kujaza mawazo chafu na chuki.
  3. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mlilia urais aliyeshindwa kuongoza Wizara

    Watanzania kwa kupenda mambo ya kusikia hatujambo. This is rubbish.
  4. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Lowassa anachukiwa na viongozi wa CCM?

    wote wavuke mstari
  5. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Vijana tusitumike kueneza udini

    ulimshauri nini?
  6. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Vijana tusitumike kueneza udini

    pia tamaa ya madaraka
  7. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Vijana tusitumike kueneza udini

    gazeti gani kwako si la udaku?
  8. Ground Zero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je sahihi kumpa mpenzi pesa ya matumizi?

    Msaidie kama unaweza ila usitegemee mavuno
  9. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Tamko la Vijana wa Vyuo Vikuu kuelekea uchaguzi Mkuu 2015

    Nimekuelewa ila achana na ndoto
  10. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Tamko la Vijana wa Vyuo Vikuu kuelekea uchaguzi Mkuu 2015

    Wamejitoa lini?
  11. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Tamko la Vijana wa Vyuo Vikuu kuelekea uchaguzi Mkuu 2015

    Lakini bila uongozi madhubuti Tanzania itayumba.
  12. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Tamko la Vijana wa Vyuo Vikuu kuelekea uchaguzi Mkuu 2015

  13. Ground Zero

    JamiiForums Tanzania Askari aliyetorosha ndege ya JWTZ

    Habari wanaJF, Nilisoma habari kwenye Jambo Leo kama alivyonukuliwa msemaji mstaafu wa JWTZ Kanali Mgawe. "Kwa mujibu wa kamanda huyo mstaafu, hakuweza kutimiza ndoto yake ya kuwa rubani kutokana na mwanajeshi mwezake aliejulikana kwa jina la Pascal Nzuki, kufanya utundu wa kutorosha ndege ya...
Back
Top Bottom