Ndani ya CCM wapo watu wengine wazuri sema hawajapewa nafasi tu. Kwa mfano sijaona ukimtaja jembe Mwakyembe hapo. Usiangalie juu juu na ku-conclude hamna mtu mwingine ndani ya CCM, wakati ndio chama chenye watu wengi zaidi katika nchi hii.
Uzuri kuna siku inakuja haya yote yatadhihirika. Let us wait and see nani ni nani! That day is not very far it is very close, He is coming, Jesus is coming.
Kusoma Biblia kama elimu hataufike level ya mwisho wa elimu ya duniani sio kumjua Mungu. Tunamjua Mungu kwa neno lake plus ufunuo wa Roho Mtakatifu, na inaanza na Imani. Muungano kati ya Neno na Roho Mtakatifu ni vitu muhimu sana. Mungu akijifunua kwako ndipo utaweza kumjua lakini vinginevyo...
El ni public figure, katika harambee au kuchangia kazi ya Mungu muumin anataja kiasi anachotoa au anacho ahidi kutoa kulingana na uwezo wake. Katika kusaidia kazi ya Mungu hakuna siri ndugu. Kasome vizuri hiyo Biblia kuna mahali katika zaburi inasema juu ya kusimama na kufanya jambo lenye...
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana kwake yeye aaminie. Unaomba Mungu anafunua siri nyigi zilizo jificha. hakuna longo longo kwa Mungu Things are so obvoius. Come i will show you how to pray.
I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
Mkuu kama ungesoma post zangu vizuri nadhani ungeelewa. go back and read them all. I have no answer for this kind of question. Nilichoelewa tu ni kwamba wewe una uhusiano mzuri sana na shetani, maana ndiye anayependa kudhalilisha watu na habari mbaya za watu. Hivi hawa jamaa huwa hawana mema?
Kumjua mtumishi wa mungu ni ufahamu. Sio kila mtu anaweza akamjua mtumishi sahihi wa Mungu. unahitaji kusoma Biblia kikamilifu upate picha. Kasome vizuri wewe ndio uje kwangu things are very clear.
I said whether it is true or not I don't know and I don't need to know all that. Peleka mahakamani ndio ushahidi unahusika.
Ushahidi kaa nao wewe, sihitaji kuuona (keep it for yourself). Ni hivi Mwingira ni Baba yangu wa Kiroho. Siwezi kukaa kimya mtu anapo mdhalilisha. ni tabia ya shetani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.