Recent content by Gregy5

  1. Gregy5

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    My profile Sex-Male. Age-26. Education-Bachelor degree in Human resources management. Experience-2 Years. Location-Dodoma, Mbeya and Dsm.
  2. Gregy5

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    😂😂😂😂
  3. Gregy5

    Mfahamu abiria aliyesafiri peke yake katika ndege ya kuwabeba abiria 360

    Uwezo wa ndege kuruka na kutua unategemea sana uzito. Mafuta ni sehemu ya huo uzito. Ili hesabu iwe rahisi wanaamua kujaza mafuta kwa uzito. Mfano ton 25(hizo ni Lita 31,200) kwahio rubani anapiga hesabu zake kwa kuzingatia uzito. Pia anajua ndege yake inachoma ton ngapi za mafuta kwa saa.
  4. Gregy5

    Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

    mambo kusema tusichunguzane sijawahi kukubaliana nayo hata siku moja, mm nijitunze alafu yy afanye ufuska unajua hii dunia ina magonjwa kibao, kama una jali afya yako lazima utamchunga mke wako au mume wako.
  5. Gregy5

    Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

    yani mwanamke wako anashika simu yako ila yakwake anakukatalia ??? daah sijui ww ni mwanaume wa aina gani ? in short unaendeshwa na mpenzi wako
  6. Gregy5

    Umewahi kukuta watu wanakula tunda live?

    2017 nilikua nimepanga ghetto na rafiki yangu, siku moja nimetoka chuoni nikaingia ghetto bila kugonga hodi maana mlango ulikua wazi, nikamkuta mshikaji wangu anamla demu wake jasho linamtoka vibaya mno, baadae demu alivoondoka tulicheka sana.
  7. Gregy5

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu

    Mwalimu Nyerere Memorial Academy DSM campus
  8. Gregy5

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu

    Ahsante mkuu🙏🙏 Mwenyezi Mungu ni mwema atatenda tu.
  9. Gregy5

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu

    Habari zenu ndugu zangu! Mimi ni kijana (ME) mwenye umri wa miaka 23, naishi Dar es salaam, Elimu yangu-Shahada ya usimamizi wa rasilimali watu ( Bachelor degree in Human resource management). Natafuta kazi itakayo nipatia kipato cha halali, kazi ambazo ninaweza kuzifanya ni kama ifuatavyo...
Back
Top Bottom