Recent content by greenwoods

  1. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

    Oya ndo wamesababisha toyota ist kupanda bei
  2. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Kabla ya kuanza kuimba akaanza kampeni eti "mitano tena kwa samia" wakaona usituletee usenge
  3. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuhusu Aliexpress

    Mimi mwenyewe mwezi uliopita ilinizinguwa sana mpaka nikatumia kikuu..ila mara nyingi ukiona inazinguwa hakikisha kwenye account kuwe na balance ya kutosha mfano kama unanunua kitu cha jumla ya bei 20,000 basi uwe na ata 40000 kama kitakuwa na makato ya katwe ukiwa na hela pungufu inakuwa na...
  4. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

    Malipo ni hapahapa duniani waligonga cheers kipindi tunahuzunika kwa kuondokewa na jpm leo hii wanasaga meno na vilio vya kila aina.
  5. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Nikiona ajali hii, mengi najifunza

    Sauli ni kama kuku alidonoa maindi ya kuishia mwaka huu!!?? Maaana inafikirisha sana ni kama alijua hawezi toboa mwaka huu ndo maana akauza polo zake kwa katarama na hakutaka kureplace zingine yani kwa ufupi hakuwa serious na biashara yake tena ya mabasi wakati ndo yalikuwa kwenye peak
  6. greenwoods

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una Mume asiyechepuka, basi ana mojawapo kati ya sababu hizi

    Hagunaga gitu gama hicho
  7. greenwoods

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

    Jipige kifuani mara saba ukisima wewe ni mpumbavu
  8. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Maafa ya mvua Julius Nyerere hydropower electric dam

    Mafuriko tena!!! Si walisema mwendazake alikata miti mingi ambayo ingesababisha ukame!?
  9. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

    Kuna mzee mmoja alisema "ata kichaa hawezi ingia mkataba kama huu" tukamtukana na mwishowe tukamuua kabisa
  10. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Kapewa hela nyingi na samia mpaka kakosa akili mjinga sana huyu msaliti
  11. greenwoods

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Yeye mwenyewe kikwete hataki kupumzika
Back
Top Bottom