Huyo ni mtumishi wako sio mwanao, unaweza kumkanya kwa maneno na sio kupiga!
Basi sasa hivi isiwe tena kupinya majipu iwe watumishi wa Umma wanachapwa! Sidhani kama imekaa sawa!
Hujafunga nao ndoa wakikushinda unawarudisha makwao
Huko inabidi ukajishushe hasaaaaa maana ni kosa kubwa, ukimpiga...
Ndo pale mmoja anataka kumwaga maji ya Baraka mwingine anataka kufukizia ubani, mmoja anataka kusoma dua mwengine anataka kufanya misa ya shukrani, mmoja anasema Yesu ni Mungu mwengine anasema Yesu ni nabii! na vyote hivyo vinafanyika ndani ya Nyumba moja ya wanandoa! Sio kitu cha kukiignore
Swala la imani bora mmoja abadili! wakristo wanasema msifungwe nira pamoja na wasioamini na waislam wanasema wasioamini uislam ni makafiri sasa hapo mnapoungana inakuwaje? Maana mume na mke ni mwili mmoja hapapaswi kua na utofauti!
Kuna ndugu mmoja baba yake alikua mkristo mama mslam...
Mali lazma zigawanywe ila sio lazma nusu kwa nusu inategemea na aina ya ndoa, hahaa naona umebase kwenye mali zaidi, kama ndugu yako anaweza kuendelea kuvumilia avumilie watengane vyumba, ila kama baba ataendelea kudai talaka hamna namna! Duh! wanawake tumeumbiwa uvumilivu
Kama mmesoma vizuri mume ndo anataka kutoa talaka na mke amekua mvumilivu sana.
Talaka haitolewi mahakamani mpaka wapitie mabaraza ya usuluhishi na washindwe kusolve
Watoto chini ya miaka 7 wanatakiwa kuishi na mama labda ithibitishwe hataweza kuwalea
Watoto wenye miaka 7 kwenda juu watachagua...
Pole sana hivi dunia ya leo mwanamke wa nje ni wa kuchanganya mpaka umtende mke yote hayo
Kwasababu umeshapita baraza kesi iko wazi talaka itatolewa na kama Nyumba mliipata mkiwa kwenye ndoa itagawanywa kwa wote ikijumuishwa na mali nyingine mlizochuma mkiwa ndani ya ndoa, kama mna watoto basi...
Hivi unapoamua kumsaidia mtu hata kama sio familia ni ili akushukuru au ili ulete mabadiliko fulani kwenye maisha ya muhusika,
Kwa upande wangu appreciation kubwa nnyoipata ni pale nnapoona mabadiliko chanya yametokea kwenye maisha ya niliyemsaidia, mf. Mdogo wako anaenda kusomea u Dr. angeanza...
Ni kuendelea kumbana tu mwisho wa mwisho mtoto atakuja kumuhitaji baba ilimradi hajamkana mwanae, huenda wakati mwingine anabanwa huwezi jua maana ana familia mbili na changamoto anazopitia hakushirikishi anabanwa na majukumu anashindwa na kwakua fimbo ya mbali haiui nyoka basi changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.