Recent content by GreatMkubwa

  1. GreatMkubwa

    Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Echililo, Kwanza haonyeshi hata simanzi kwa wafiwa. Kama kweli alikuwa kwenye huduma ya kimungu kwanini alitoroka baada ya tukio na asikae akafarijiana na wafiwa na kuona namna ya kuwasaidia hata kwa maombi? Jamani tufunguke akili basi
  2. GreatMkubwa

    Maelezo ya namna kuwa retailer wa premier betting changamatoto na faida zake

    Habari za humu ndani. Naona huu uzi ni wa mwaka 2014... Naomba kujua kama utaratibu bado ni huo huo au vipi? Nina frem nimeweka mashine za wachina zile za kubahatisha, then nataka kuweka na hizi za Premier betting sasa hizo process mbona jasho[emoji36] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. GreatMkubwa

    Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

    Sometimes huku JF mtu anaweza kuwa na ishu siriaz ila watu tunachkuliaga kila kitu .utani hivi au sio muhimu. Huyu jamaa kumbe alikuwa na matatizo siriaz ila tuliishia kumpa majibu ya hivihivi tuu mpaka ameaga dunia. RIP bro
  4. GreatMkubwa

    Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

    Bro msaada wa kupeana mpaka Tracking number haupo... kuandikwa juu haimaanishi ndio nikupe namba. Kuchukua mzigo unahtaji Tracking namba na ID yako. Kwanza we nikupe hyo namba we nani??? Meneja wa Posta???? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. GreatMkubwa

    Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

    Mbaya zaidi hii kitu niliagiza kama zawadi ya Sikukuu kwa watoto... niliwaagizia watoto zawadi matata sana na wakaziona picha na nikawaahidi by Christmass watakuwa nazo saaasaaaa nimejieleza mpaka bas. Wanataka zawadi zao, inaboa sana. Dingi nimekuwa tapeli mbele ya watoto...
  6. GreatMkubwa

    Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

    Hapana mkuu, kama una link itakayonisaidia we nipe hata DM. Tracking number ndio Password yenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. GreatMkubwa

    Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

    Kweli, nikiingia kule kwa Posta Tz naambiwa haupo kwny system[emoji26] inaboa sana, niliwaagizia watoto zawadi matata sana na nikawaahidi by Christmass watakuwa nazo saaasaaaa nimejieleza mpaka bas. Wanataka zawadi zao, inaboa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. GreatMkubwa

    Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

    Hili ni tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. GreatMkubwa

    Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

    Habari za leo wanajamvi? Nimekuwa nikiagiza mizigo mara kwa mara kutoka China na Singapore sanasana na Tracking inakwenda vizuri sana ila mzigo ukishafika Destination Country yaani Tz unaweza kukaa wiki 2 mpaka 3 hamna updates zozote kuhusu mzigo. Kwamfano Nina mzigo umeingia tangu tar 6 Dec...
  10. GreatMkubwa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, ajutia kuwaweka ndani Watumishi wa Umma bila kuwasikiliza. Ataka Viongozi vijana wajisahihishe

    Ingia google search hizo sehemu alizotaja ujue umbali acha kutuchosha... unafananisha na Dar mpaka wapi iweje? Wanaume wa Dar bwana
  11. GreatMkubwa

    Unga wa Gypsum wa kutengenezea chaki

    Kwema mkuu. Hajawa na mawakala au wauzaji wa jumla bado?. Nipo Arusha nauhitaji kwa kutengenezea chaki
  12. GreatMkubwa

    Utaratibu wa kufungua kesi mahakamani kwa makosa ya barabarani

    YEHODAYA Ingependeza kama nikipata majibu ya swali langu, pia sio sahihi saana kuwaza kuwa woote wanaoambiwa wametenda kosa wamelitenda kweli!! Sometimes uonevu upo, pia hao trafiki unaosema nimewaona kama malofa - una uhakika? I always respect people na kazi zao sana. Usijibu kama huna majibu.
  13. GreatMkubwa

    Utaratibu wa kufungua kesi mahakamani kwa makosa ya barabarani

    Habari za leo wadau. Naomba wenye uelewa wa namna ambavyo naweza kulalamika pale ambapo askari wa barabarani kanilazimisha kuandika fine bila ya mimi kuridhia kosa langu. Nimewahi kukutana na mikasa mingi ya askari barabarani mpaka inafikia mahali nahisi labda kuna mambo siyafahamu au basi tuu...
Back
Top Bottom