Novemba 22, 2016.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amezindua vyumba nane vya madarasa katika shule ya msingi Mbande, wilayani Temeke mkoani humo, ambavyo vitatu kati ya hivyo vimejengwa kutokana na fedha za Serikali zilizotolewa na Rais Dk. John Magufuli ili kupunguza changamoto ya...