Hakuna tabia naipenda kama unatkutana na mtu, sio muongeaji sana anajibu direct haongei mbele za watu.
Ila akiwa class kwenye presentation anaongea mpaka Raha. Ukimpigia simu hana mambo mengi.
Yaani nawezaje kuwa mkimya ambapo maneno angu yanakuwa kama dhahabu!!!
Hii naona ni matured introvation!
Nimesema kaliua imepakana na mikoa kama kigoma mpaka ni pale usinge
Mwanza na Mpanda
Kwa maana hiyo kaliua ipo mpakani ndio maana ina Eneo kubwq compared to urambo ambayo iko katikati ya mkoa.
Kuna mtu nimeongea nae, alikuwa anatafuta dereva wa roli kwenye kampuni kwenda uganda nk.
Amesema atanijibu.
Akinijibu ntakutumia namba pm
Onyo
Usinitafute PM
Ikikaa sawa mimi ndio ntakutafuta
Zingatia
Muombe Mungu
Kabla ya kaliua haijawa wilaya ilikuwa kata ya urambo, kwa marehemu sitta, baada ya kaliua kuwa wilaya urambo imeishiwa nguvu kabisa, mana kaliua ina maeneo makubwa sana na iko jitani na mikoa kama kigoma, mwanza na mpanda, wakati urambo ikiwa ni ndogo sana.
Note
Kaliua bado inategema hospital...
Habari Jf
Naomba kuuliza.
Nimekuwa mara kwa mara nikisoma na kufatilia habari za maradhi mbalimbali.
Lakini nataka kujua kutoka kwenu, nizingatie vyakula gani au mfumo upi wa maisha ili nijikinge na maradhi makubwa.
Situmii kabisa soda yoyote
Situmii chips huu ni mwaka wa pili bila kuonja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.