Budget zipo je? Wakatai wanashinda angani na kulala angani? Wanapiga deal za maana wewe unaulizia habari za Budget ndani la SERIKALI CORRUPT YA MACCM???????!
Sorry.. Mpendwa labda hali ya kufanya au kutofanya mapenzi kwa muda mrefu..Alina uhusiano wa moja kwa moja na ucha MUNGU..Ni namna mtu anavyoendesha maisha yake.. (I'm not here to prove anything against my faith to LORD our GOD)..Nadhani ili nimeliweka sawa..Mimi ni mkosefu kama walivyo...
Hutaki una acha mummy! wala sijaja hapa kutafuta hicho unachodhania..Anyway..! Everybody has his own way of expressing his views" Wanisamehe ninao wakwaza katika uzi huu..Maana mimi ni binadamu hati..!..Si malaika..Hivyo mapungufu ninayo tena makubwa!! but....when I say something I mean it...
Asiye kuwa mzima ni yule mwanaume asiyeweza kusema na roho yake , bali kuwa mtumwa wa tamaa na miemuko ya mwili wake...! Hakika na kwambia kwa mwanaume anayejali na anayejitambua sawa sawa ana hiari ya kukaa wakati anaotaka bila kufanya mapenzi....Hapa suala si kutojiskia hamu ya kuafanya...
Kumuua adui si kosa hata kidogo bosi wangu..! Mtu asiye na hatia ndio kosa kuuliwa..(Hata hivyo hapa nimefafanua..kuwa huyu anataka kuniiua..Je? wewe utamwacha mvamizi wako akuue au utajitetea?).Hii inakuwa kama vita....ua au mwache adui akuue..lol!
Wapendwa,
Nitakuwa mtovu wa fadhila nisipotumia wasaa huu kuwashukuru wanajukwaa waliochangia kwa ushauri na mawazo mbadala juu ya bandiko langu la awali "Natafuta mwanamke Mpweke"
Hakika sikutarajia kama JF kuna watu waungwana kiasi kile(maana huwa naona comments za kubeza na kusimanga)...
We SaidSabke.....!!Jamani dini na Imani zisizo zenu msi ziingilie kwani hamjui msingi wake( Kwa kanisa Katoliki Bwana yesu alikasimu Uwakilishi wake kwa maaskofu na mapadre-..Muumini anapo ungama dhambi zake aziungami kwa Padri wala Askofu ..Bali Kwa Mwenyezi Mungu.. Na Padre au Askofu huwa...
Nina hofu ya MUNGU tu.. Na ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki....Kutofanya hayo yoyote ni misimamo tu na hulka ya mtu( Mfano Kunywa na kuvuta sikuwahi kufanya hivyo tangu nikiwa mdogo..Kuhusu mambo ya "utamu" ni malezi( Nawashukuru wazazi wangu wapendwa sana.. Hakika walinilea vyema....Na mtu...
Ahsante mpendwa kwa mawaidha yako mazuri..Lakini ungepitia comments zote ungenishauri tofauti na unvyonishauri sasa.. huyu bibie ameshindikana na mimi sipo radhi kuumiza moyo wangu kwa miaka mingine mingi kama Mungu atanijalia uhai...(Nachelea kuja kumpasua nikatenda dhambi nisiyo jiandaa...
Hakuna binadam chini ya jua aliye mkamilifu hata kidogo..Yawezekana nilimkwaza mwenzi wangu kwa namna moja au nyingine.. Lakini Nakiri itakuwa bila makusudio ya kumuumiza..Labda kwa bahati mabaya.. na nilikuwa mwepesi wa kuomba msamaha....Nasema yawezekana nilimkosea bila kukusidia( Kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.