Ni kweli kabisa kaka hiyo haipingiki, ila madaktari wao wanapendana kipengele kwa Nurses tunakuwaga machawa na matatizo yetu nikushtaki kwa madaktari. Pia Cos na Nurses hamnaga maelewano mazuri kabisaa.
Hapana huyo dada hakuwa na moyo huo wa kunifanyia mabaya sema alikuwa anashauriwa, shida yake ni moja tu alikuwa akishauriwa nayeye anafata, hvyo sikuwa na kinyongo nae. Siwez furahia kifo cha binadam mwenzangu.
Yeah! Nikweli mkuu kila mtu na mawazo yake, japo hakuna mtu anae zaliwa mkamilifu licha kwenye uzi wangu nimeyataja mapungufu yake huenda namm nilikuwa na matatizo yangu hivyo nikusamehana tu 😭😭😭
Hakuna anae furahia kifo mkuu, haijalishi mliishije ila mtu akifa lazima uumie tu labda kama una roho mbaya. Mtu akifa harudi hvyo binafsi natetemeka maana sikutegemea kama atafariki 😭😭😭. Isitoshe mimi nayeye ugonvi uliisha tulisamehana maana wanaume hatunaga ya kuweka vitu moyoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.