Recent content by grationmbelwa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

    Nimesoma majibu ya Zitto kwa Lema, lakini niseme tu kwamba Zitto Kabwe anafanya kosa kubwa kwa kuendesha siasa zake ndani ya CHADEMA akidhani kuwa yuko Ulaya na Marekani ambako ukomavu wa siasa katika vyama na uelewa wa wanachama na wananchi kwa ujumla ni wa kiwango cha juu sana. Amekosa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Raisi kikwete hataki kubeba mizigo ya kila mtu

    Raisi Jakaya Kikwete ameamua kuwa jaisiri na kutaka kila mtu abebe mzigo wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi hasa vingozi kwa kukataa kukikumbatia rushwa. Aliwaweka wazi viongozi wenzake kuwa CCM lazima ife ikiwa watain'gang'ania rushwa. Nijuavyo mimi viongozi wa CCM hawawezi kuiacha rushwa hata...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtu sahihi kuiokoa CCM 2015

    Kwa nini ccm wasimjaribu magufuli?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere aling'oa reli ya Dar-Lindi, Mtwara, Nachingwea?

    Yaani hiyo reli ilipita wapi wakati hata daraja la mkapa lililopo Rufiji lilikuwa halijajengwa, au daraja la Mkapa lipo mto Ruvuma?
Back
Top Bottom