You cannot judge waziri aliyekaa kwa miaka 10 ambae yupo kando sasa na waziri ambae ndio kwanza anamiezi kama 7 yaan kwa awamu ya tano anamwaka mmoja tu,labda utoe another criteria zakupima nani ni bora lkn sio criteria za kawaleta kina nani nchi hii [emoji15][emoji15][emoji15] kwanza hao...
WEWE KAPAKE LIPTI
Itakua inakusumbua wewe zaidi usiyejua kuchambua mambo na kujua which issue is sensitive kwa taifa ,Hata wewe ni mmojawapo wa watu wanotumia vyeti fake mwisho wa siku mnaishia kusign deed pole na kuacha majina yenu halisi
wewe unayejiita warumi elimu yako imekusaidi na...
WEWE NI SAWA NA MAKANDOKANDO SIKUSHANGAI NA USHAURI WAKO MAJI TAKA ,WEWE UNAHISI KUWA NA VYETI NI KUAJIRIWA TU?FAMILY ALIYONAYO NI AJIRA TOSHA TU TENA USITUPOTEZEE MUELEKEO KWENYE SUALA NYETI KAMA HILI LA VYETI FAKE...HAPA SIO KITUO CHA AFYA CHA KUTOA USHAURI NENDA KWENYE PAGE YAKE KATAPIKIE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.