Mimi binafsi Nina boxer yangu...huu ni mwaka wa tatu Sasa..sio mbaya kwa kweli..ukiitunza utasahau kabisa shida za usafiri...68km/L😂😂 alafu mtu aniambie habari ya aiestii😌
Ndugu yangu unapigwa na kitu kizito...hii stori niliiskia hivihivi kutoka kwa mtu anajielezea pale airport dar mwezi wa 11 mwaka jana...ametapeliwa laki 4🙌
Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
Jaribu kutumia dawa inaitwa saline...utakuwa unamwekea mara kwa mara...pia angalia mazingira anapolala yawezekana vumbi...feni...pafyum...au hewa chafu inqchangia pia
Asante Kwa ufafanuzi...Mimi nilidhani kuwa labda tuseme Kwa mfano huu wa 20m ulioyotoa...nikienda benk kuchukua mkopo kupitia hii Bond kama collateral...pale %ya kiasi ninachoweza kukopa watapigia Kwa hiyo 20m+faida(total coupons),ambapo huo mkopo utakuwa unaji -offset wenyewe kutokana na hayo...
Naomba kuuliza,let's say nimewekeza hiyo 100m,je endapo nitaitumia bond hiii kama collateral kwenye benki,watanikopesha asilimia ngapi kwenye huo uwekezaji wangu,na je,hesabu inapigwa kwenye hiyo face value ya bond au ni kwenye kiasi nilichowekeza pamoja na faida jumla nitakazozipata kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.