Recent content by grand millenial

  1. grand millenial

    Voyager 1 chombo cha ajabu kinachonitisha kichwa. Aisee! hii itakushangaza

    Correction Speed ya mwanga kwenye vaccum ni approximately 3×10^8 na sio 3×10^5. KIngine voyager 1 inatumia radio frequency kutuma ujumbe wake kuja kwenye receiver za duniani . Radio frequency ipo katika range za electromagnet same as mwanga . Hivyo speed yake kwenye vaccum of space pia no...
  2. grand millenial

    Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    ZIle risiti zinavyovuja wino vile unatafuna vipi mkuu?
  3. grand millenial

    Wakati nipo chuo nimesoma Mafilosofa wengi ila sikuona Mwanamke hata mmoja je wanawake wao sio wagunduzi wa mambo yanyohusu Akili n.k?

    Female scientists and inventors-: 1. Émilie du Châtelet (1706–1749) French mathematician, physicist, and translator. Translated Newton’s Principia Mathematica into French. 2. Caroline Herschel (1750–1848) German-British astronomer. Discovered several comets and worked with her brother...
  4. grand millenial

    Wakati nipo chuo nimesoma Mafilosofa wengi ila sikuona Mwanamke hata mmoja je wanawake wao sio wagunduzi wa mambo yanyohusu Akili n.k?

    1. Aspasia of Miletus (c. 470–400 BCE) Ancient Greece. Companion of Pericles, influential in Athenian politics and philosophy. 2. Hypatia of Alexandria (c. 360–415 CE) Mathematician, astronomer, philosopher. Known for Neoplatonism teachings; murdered by a mob. 3. Hildegard of Bingen...
  5. grand millenial

    Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Hakuna athari ikifanywa na daktari wa meno anayejua anachokifanya , nikushauri ikatokea unataka kung'oa chunguza kwanza mwenye sifa nzuri .meno ya juu ni hatari kutokana na ukaribu wake na viungo muhimu eneo la uso sasa ikatokea sindano imechomwa vibaya au anayengoa hajui technique nzuri basi...
  6. grand millenial

    Yaaan ndoa imenishinda asee

    Babako alimuoa mamako? Nauliza tu ili nijue kama na babako tunamuhesabu kwenye wapumbavu.
  7. grand millenial

    Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    We ita maneno yooote njoo na syllabus nzima ya hii topic ila jibu langu lipo pale pale ni kwamba KITU HAIFITI hivyo kuachia nafasi ya hewa kupita nothing else , chuma ikijaa kila sehemu hautokaa usikie haya mambo.
  8. grand millenial

    Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    KUPWELEPWETA yaani kitu haifiti
  9. grand millenial

    Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    ALimtukana Mungu lakini hakugusia dini yoyote ,kuna miungu mingi maybe uwe specific alimtukana Mungu yupi? na ndiyo maana viongozi wa dini tofauti tofauti walitoa kauli zao kwa ujumla maana hakuelekeza Tusi hilo kwenye dini fulani .
  10. grand millenial

    Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Ni sawa kuchukia dini yoyote ile lakini kufikia hatua ya kumtukana Mungu au chochote kinachochukuliwa kitakatifu kwenye dini husika si sawa .
Back
Top Bottom